
AjiraCoach Vijiwe
June 11, 2025 at 02:03 PM
*TANGAZO LA KAZI*
Anahitajika *Mtaalam wa Maabara* (Certificate au Diploma)
📍 *Eneo:* Morogoro
💰 *Mshahara:* Maelewano
📋 *Leseni:* Sio lazima, angalau awe na PRP iliyo valid
📞 *Mawasiliano:* 0695624611
Jiunge na *VIJIWE TANZANIA* kwa fursa zaidi za ajira:
👉 https://whatsapp.com/channel/0029VbAeiSi5Ejy0w1SlQ934
#ajiramaabara #katavijobs #healthcarejobs #vijiwetanzania #ajiraleo