
AjiraCoach Vijiwe
June 13, 2025 at 06:47 AM
*TANGAZO LA KAZI*
📍 *Sehemu ya kazi: Shinyanga Mjini*
👩 *Anahitajika Mwanamke Kusimamia Lodge*
*SIFA:*
- Umri: Miaka 18-45
- Awe anajua vizuri kuhesabu pesa
- Mshahara: 100,000/= kwa mwezi
- NIDA ni kipaumbele
- Malazi na chumba vinapatikana hapo hapo lodge
- Chakula juu ya Boss
📝 *Tuma video fupi ukijitambulisha kupitia email:*
📧 *[email protected]*
*👉 JIUNGE na VIJIWE TANZANIA kwa nafasi zaidi za kazi:*
🔗 https://whatsapp.com/channel/0029VbAeiSi5Ejy0w1SlQ934
*#ajirashinyanga #nafasizakazi #lodgejobs #vijiwetanzania*