
AjiraCoach Vijiwe
June 14, 2025 at 05:22 PM
*NAFASI ZA KAZI: ST. PIUS CLINIC*
Nafasi za kazi kwa *Clinical Officers*
- *Eneo:* Kishapu, Shinyanga
- *Jinsia:* Ke
- *Idadi:* 3
- *Uzoefu:* Hauhitajiki
- *Muda wa kazi:* Masaa 8 kwa siku, kwa mfumo wa mzunguko (rotation)
- *Malazi & chakula:* Ni juu ya Boss
- *Mshahara:* 400,000 TZS kwa mwezi
- *Sharti:* Leseni ni lazima
*NB:* Badala ya barua ya kuomba kazi, utatuma video ya sekunde *zisizozidi 30* ukiomba kazi. Video hiyo ndiyo itatumika kama interview.
Tuma video na documents zako zote kwa:
*Email:* [email protected]
*Jiunge na AjiraCoach Platform* kwa taarifa sahihi kila siku.
👉 https://whatsapp.com/channel/0029Va8Ui3W42DcgM0bUEK01
#ajiracoach #nafasizakazi #clinicalofficers #ajiratanzania #fursazaajira #interviewtips
😂
😢
12