
AjiraCoach Vijiwe
June 14, 2025 at 07:32 PM
*TANGAZO TANGAZO TANGAZO*
*MAKKAH DISPENSARY*
Inahitaji wataalamu wafuatao kufanya kazi mkoani *Songwe - Mkwajuni*:
- *Medical Attendant* – Nafasi 7
- *Laboratory Assistant* – Nafasi 5
- *Clinical Officer* – Nafasi 2
- *Pharmacist* – Nafasi 1
*Tuma maombi yako* ukiambatanisha *CV na vyeti vyote* kupitia:
📞 *0615 907 558*
🗓 *Deadline: 19 June 2025*
⚠ *TAHADHARI: Usitoe pesa yoyote katika hatua yoyote ya kutuma maombi ya kazi.*
*Jiunge na AjiraCoach Platform* kwa taarifa sahihi kila siku👇
👉 https://whatsapp.com/channel/0029Va8Ui3W42DcgM0bUEK01
#ajiracoach #nafasizakazi #ajiratanzania #kazizaafya #medicaljobs #tanzaniajobs #fursazaajira