
AjiraCoach Vijiwe
June 15, 2025 at 05:45 AM
📢 TANGAZO LA KAZI
Tunatafuta muuza bidhaa mwenye uzoefu wa kuuza DLDM kwa haraka sana.
🟢 Mahitaji:
✅ Awe na uzoefu wa kuuza DLDM
✅ Awe tayari kuanza kazi mara moja
✅ Awe na nidhamu na uaminifu
📍 Eneo la kazi: Mtwara
🏠 Malazi: Sehemu ya kuishi inapatikana bure
💰 Mshahara: TZS 100,000 kwa mwezi
💸 Allowance ya kila siku: TZS 2,000 (nje ya mshahara)
⏳ Nafasi ni ya haraka – anayejiona anafaa, wasiliana mara moja!
📞 Wasiliana na Boss kupitia: 0674 300 675
😂
😢
5