
AjiraCoach Vijiwe
June 15, 2025 at 08:05 AM
*TANGAZO LA KAZI*
Anahitajika *Mwalimu wa Social Studies na Kiswahili* mwenye uwezo wa kufundisha masomo yote mawili, akiwa na *uzoefu wa kufundisha madarasa ya mtihani*.
📍 *Mahali:* Mwanza - Igoma
📞 *Mawasiliano (Normal Calls):* +255 621 667 182
*JIUNGE NA VIJIWE TANZANIA kwa taarifa nyingi zaidi za ajira:*
🔗 https://whatsapp.com/channel/0029VbAeiSi5Ejy0w1SlQ934
#ajirazawalimu #teachingjobs #mwanzajobs #vijiwetanzania