AjiraCoach Vijiwe
AjiraCoach Vijiwe
June 15, 2025 at 02:57 PM
*TANGAZO LA KAZI* Anahitajika *Clinical Officer* au *Nursing* mwenye *Certificate* au *Diploma* kufanya kazi katika DLDM. 📍 *Location:* Kahama Municipal, Shinyanga Region 🍽️ *Offer:* Chakula cha asubuhi na mchana, sehemu ya kulala juu ya boss 🛠️ *Note:* Awe tayari kufanya procedures zingine nje ya kuuza dawa 📞 *Mawasiliano:* 0787 913 391 *JIUNGE NA VIJIWE TANZANIA kwa fursa zaidi:* 🔗 https://whatsapp.com/channel/0029VbAeiSi5Ejy0w1SlQ934 #ajirazaafya #clinicalofficer #nursejobs #dldm #vijiwetanzania #kahamajobs
😂 5

Comments