
AjiraCoach Vijiwe
June 15, 2025 at 05:49 PM
*TANGAZO LA KAZI – URGENT URGENT*
Anahitajika *Mtaalamu wa Maabara*
• Cheti (Assistant) au Diploma (Technologist)
📍 *Location:* Tanga
💰 *Mshahara:* 450,000/=
🏠 *Makazi:* Kodi inalipwa miezi 3, kila kitu ndani kipo
📞 *Mawasiliano:* 0764 403 039
*JIUNGE NA VIJIWE TANZANIA kwa nafasi nyingi zaidi:*
🔗 https://whatsapp.com/channel/0029VbAeiSi5Ejy0w1SlQ934
#labjobstanzania #tangajobs #vijiwetanzania #ajirazaafya #labtechnician #ajiratanzania