
AjiraCoach Vijiwe
June 16, 2025 at 06:08 AM
*TANGAZO LA KAZI – SHILOH MICROFINANCE CO. LTD*
*NAFASI ZILIZO WAZI: AFISA MIKOPO (5)*
*MAJUKUMU:*
- Kutathmini, kuidhinisha na kufuatilia mikopo
- Kutoa ushauri wa kifedha
- Kuandaa ripoti na kushiriki kwenye kampeni
*SIFA ZA MWOMBAJI:*
- Elimu: Kuanzia Form 4 hadi Chuo
- Umri: 18–30 (Me/Ke)
- Mawasiliano mazuri, kufanya kazi kwa bidii
- Ujuzi wa kompyuta na udereva ni faida
- Utayari kufanya kazi sehemu yoyote Tanzania
*JINSI YA KUTUMA MAOMBI:*
Tuma barua ya maombi + CV kwenda:
📧 [email protected] / [email protected]
📮 S.L.P 467, Singida
📞 0762557946 / 0765184821
*MWISHO:* 22/06/2025
Ofisi: Ginery – Singida Mjini
*JIUNGE NA VIJIWE TANZANIA kwa fursa zaidi:*
🔗 https://whatsapp.com/channel/0029VbAeiSi5Ejy0w1SlQ934
#ajiratanzania #afisamikopo #microfinancejobs #shilohmicrofinance #vijiwetanzania #ajirampya