
AjiraCoach Vijiwe
June 17, 2025 at 04:59 AM
🔊 *TANGAZO LA KAZI*
*DAMA AFRICA DISPENSARY* inatafuta:
👨⚕️ *Clinical Officer – 1*
📍 *Location:* Kibaha Mji, Vikawe – Mkoa wa Pwani
🏥 Wamiliki: Masister (Roman Catholic)
💰 *Mshahara:* Maelewano na Sister (Hana shida)
📞 *Mawasiliano:* 0656 462 937
⛔ *NB:* Usimpigie kuanzia saa 11:00 jioni – Anaingia kusali.
*JIUNGE NA AJIRACOACH VIJIWE kwa nafasi zaidi:*
🔗 https://whatsapp.com/channel/0029VahXhKJKAwEtg1aqae46
#ajirazaafya #clinicalofficer #kibahajobs #ajira2025 #ajiracoachvijiwe