AjiraCoach Vijiwe
AjiraCoach Vijiwe
June 18, 2025 at 05:03 AM
📢 *TANGAZO LA KAZI* *SHAINAR Primary School – Zanzibar* Inahitaji *Walimu 2* wa kufundisha masomo yote. 💰 *Mshahara:* 150,000/= kwa mwezi 🏠 *Malazi:* Yanapatikana kwa waliotoka mbali 📞 *Mawasiliano:* - WhatsApp: 0624656754 - Normal call: 0716856754 *JIUNGE NA AJIRACOACH VIJIWE kwa fursa zaidi:* 🔗 https://whatsapp.com/channel/0029VahXhKJKAwEtg1aqae46 #ajirazawalimu #shulezazanzibar #ajiracoachvijiwe #nafasizakazi #walimu2025
😢 👍 😂 😮 6

Comments