
AjiraCoach Vijiwe
June 18, 2025 at 10:16 AM
📢 *TANGAZO LA KAZI*
*RN (Registered Nurse)* anahitajika kufanya kazi *RCH* katika *Dispensary ya Msambara, Kasulu - Kigoma*.
🗓️ *Siku za kazi:* 5 kwa wiki
⏰ *Masaa ya kazi:* 8 kwa siku
💰 *Mshahara:* 350,000/=
📞 *Mawasiliano:* 0743626390
*JIUNGE NA AJIRACOACH VIJIWE kwa fursa zaidi:*
🔗 https://whatsapp.com/channel/0029VahXhKJKAwEtg1aqae46
#nafasizakazi #rnjobs #kasulukigoma #ajirazaafya #ajiracoachvijiwe