AjiraCoach Vijiwe
AjiraCoach Vijiwe
June 19, 2025 at 08:35 AM
✅ *NAFASI ZA KAZI – NEW VISION SCHOOL ENGIKARET* 📌 *TUNAHITAJI:* *3 Walimu Mahiri* - Preschool Teachers – *Nafasi 2* - Class I & II Teacher – *Nafasi 1* *Matron – Nafasi 1* 📋 *Vigezo kwa Walimu:* 1. Awe Mkristo 2. Awe na Cheti au Diploma ya Ualimu 3. Awe mzuri wa kuzungumza Kiingereza 📋 *Vigezo kwa Matron:* 1. Awe Mkristo 2. Umri: Miaka 22–35 3. Uzoefu: Angalau mwaka 1 📩 *Tuma CV na Vyeti Vyako Kupitia WhatsApp:* *0628 862 020* 📍 *Location:* Engikaret, 2KM kutoka Namanga Road 🗓 *Deadline:* Jumatatu 23 Juni, 2025 #ajirazaualimu #newvisionschool #ajiratanzania #ajiracoach #teachingjobs #educationtransformation
Image from AjiraCoach Vijiwe: ✅ *NAFASI ZA KAZI – NEW VISION SCHOOL ENGIKARET*    📌 *TUNAHITAJI:*  ...

Comments