
AjiraCoach Vijiwe
June 19, 2025 at 06:38 PM
*Siku moja utaamka ukiwa umeitwa kazini. Utaangalia nyuma ukikumbuka barua nyingi ulizotuma, kimya ulichovumilia, machozi uliyaficha. Na utasema: "Ilikuwa ngumu, lakini niliendelea." Na hilo ndilo shujaa hufanya.*🙏
🙏
❤️
😢
👍
76