AjiraCoach Vijiwe
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                June 20, 2025 at 06:02 PM
                               
                            
                        
                            ✅ *TANGAZO LESENI YA REGISTERED PHARMACIST KUSAJILIA PHARMACY*  
📍 *Eneo:* Kyerwa, Kagera  
💼 *Hitaji:* Leseni ya Registered Pharmacist kwa ajili ya usajili wa Pharmacy  
💰 *Mshahara:* 700,000/= kwa mwezi  
📌 *Mahitaji Maalum:*  
- Awe anaishi au anafanya kazi ndani ya mkoa wa *Kagera*  
- Kazi ni kuweka leseni tu (not full-time)
📞 *Mawasiliano:*  
+255 776 154 220  
+255 617 584 220  
+255 678 354 220  
👉 *Tangazo pia limepelekwa AjiraCoach Vijiwe:*  
https://whatsapp.com/channel/0029VahXhKJKAwEtg1aqae46  
#pharmacykagera #ajirapharmacist #ajiracoachvijiwe