
AjiraCoach Vijiwe
June 21, 2025 at 02:09 AM
✅ *TANGAZO LA KAZI - MWALIMU*
📍 *Eneo:* Mwanza - Igoma
🏫 *Hitaji:* Mwalimu wa *Social Studies* na *Kiswahili*
📚 *Sifa:*
- Awe anaimudu vizuri masomo yote mawili
- Awe na uzoefu wa kufundisha madarasa ya mtihani
📞 *Mawasiliano:*
Piga simu kwa: +255 621 667 182 (normal calls only)
👉 *Fursa hii pia imechapishwa AjiraCoach Vijiwe:*
https://whatsapp.com/channel/0029VahXhKJKAwEtg1aqae46
#ajirawalimu #mwanzajobs #ajiracoachvijiwe
❤️
1