
AjiraCoach Vijiwe
June 21, 2025 at 11:09 AM
✅ *TANGAZO LA KAZI – MHUDUMU WA OFISI (PS)*
📌 *Sifa:*
1. Elimu: Kidato cha IV na kuendelea
2. Ujuzi wa Kompyuta (Computer Application)
📍 *Kituo cha Kazi:* Wino Sekondari
💰 *Mshahara:* TSh 150,000/= kwa mwezi
📞 *Tuma maombi yako + CV kupitia WhatsApp:* 0752 728 794
👉 *Jiunge na AjiraCoach Vijiwe kwa matangazo zaidi:*
https://whatsapp.com/channel/0029VahXhKJKAwEtg1aqae46
#ajiratanzania #officeassistant #ajiracoachvijiwe