
AjiraCoach Vijiwe
June 21, 2025 at 11:09 AM
✅ *TANGAZO LA NAFASI YA KAZI (UALIMU PRIMARY)*
🧑🏫 *Walimu Wawili (2) Wanahitajika* kufundisha *Mathematics na Science* kwa English Medium School.
📌 *Sifa:*
1. Diploma au Degree ya Ualimu
2. Awe Mtanzania
3. Uzoefu wa kufundisha Darasa la 5 hadi la 7
📍 *Eneo:* Kimara Mbezi, Dar es Salaam
📞 *Mawasiliano:* 0613 713 314 (Call/WhatsApp)
👉 *Jiunge na AjiraCoach Vijiwe kwa nafasi zaidi:*
https://whatsapp.com/channel/0029VahXhKJKAwEtg1aqae46
#ajirazaualimu #primaryteachers #ajiracoachvijiwe