
Tanzanian Catholics Online
May 29, 2025 at 08:13 PM
Wakati wa kwenda Kulala
Ee Mungu wangu, pokea Roho yangu, kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo aliyesulubiwa. Ninalala ili nipumzike. Unibariki Ee Bwana , na unikinge, uniepushe na Kifo cha Ghafla na kisichotarajiwa na hatari zote.Amina
Mt.Yohane Paul wa Pili,Utuombee...🙏

🙏
1