
Tanzanian Catholics Online
June 2, 2025 at 03:53 AM
Sala kabla ya kuanza Kazi
Tunakuomba ee Bwana uwe mwanzo na mwisho wa yote tunayofanya na tunayosema. Uyatangulie matendo yetu kwa mvuto wa neema yako na kuyaendeleza kwa msaada wako, ili sala na kazi zetu zote zianze pamoja nawe na kutimizwa pamoja nawe kwa njia ya Kristo Bwana wetu, Amina.

😢
1