SAFARI CAPITAL TRADING
SAFARI CAPITAL TRADING
June 11, 2025 at 09:17 AM
EDUCATIONAL WEDNESDAY! KUPITIA PLATFORM ZETU ZA WHATSAPP CHANEL AND COMMUNITY, KILA JUMATANO TUNAKUA NA EDUCATION CONTENT. JUMATANO YA LEO KARIBU KUTAZAMA SOMO HILI AMBALO TUMEANDAA KUTOKA KWENYE COURSE YETU. HAPA UTAJIFUNZA MAMBO YAFUATAYO: 1. JE, UNAWEZA KUPATA UTAJIRI KUPITIA BIASHARA YA FOREX? 2. ⁠VIPINDI VYA BIASHARA YA FOREX. 3. ⁠INTERNATIONAL DATE LINE (IDL) 4. ⁠DAYLIGHT SAVING TIME (DST) 5. ⁠FOREX SESSION OVERLAPS 6. ⁠LONDON FIX NA UMUHIMU WAKE KATIKA BIASHARA YA FOREX NA BIASHARA NYINGINE DUNIANI. KARIBUNI KUTAZAMA SOMO HILI HAPA 👇🏽

Comments