
SAFARI CAPITAL TRADING
June 12, 2025 at 05:20 AM
Unapoingia katika ulimwengu wa biashara ya Forex, unaweza kuhisi kama unalazimika kujifunza lugha mpya kabisa ili kuelewa kinachoendelea.
Kama ilivyo kwa maeneo mengine maalum, biashara ya Forex ina maneno yake maalum na misamiati ya kipekee.
Hapa kuna mwongozo wa haraka (cheat sheet) wa maneno ya kawaida utakayokutana nayo kwenye jukwaa lako la biashara (trading platform) kwenye kipengele cha Margin. Maneno hayo ni kama:
- Margin
- Leverage
- Unrealized P/L
- Balance
- Margin Requirements.
- Required Margin
- Equity
- Free Margin & Used Margin
- Margin Level & Margin Call Level
- Stop Out Level & Stop Out
- Margin Call
Katibu utazame maana za maneno haya hapa 👇🏽