
SAFARI CAPITAL TRADING
June 18, 2025 at 05:08 AM
EDUCATIONAL WEDNESDAY!
KUPITIA PLATFORM ZETU ZA WHATSAPP CHANEL AND COMMUNITY, KILA JUMATANO TUNAKUA NA EDUCATION CONTENT. JUMATANO YA LEO KARIBU KUTAZAMA SOMO HILI AMBALO TUMEANDAA KUTOKA KWENYE COURSE YETU. HAPA UTAJIFUNZA MAMBO YAFUATAYO:
1. JINSI YA KUCHAGUA FOREX BROKERS.
2. JINSI FOREX BROKERS WANAVYOFANYA KAZI.
3. HATARI YA BROKER (COUNTERPARTY RISK)
4. BROKER WA FOREX NI KAMPUNI HALALI?
5. MAMLAKA ZINAZOSIMAMIA NA KUSAJILI BROKER WA FOREX.
6. HATARI ZA BROKER WASIO NA LESENI
7. JINSI YA KUHAKIKISHA LESENI YA BROKER
8. MWONGOZO WA KUCHUNGUZA BROKER WA FOREX KABLA YA KUJIUNGA.
9. MAMBO UNAYOPASWA KUJUA WENYE FOREX TRADING UKIWA TANZANIA 🇹🇿 KUHUSU BROKERS
10. VIGEZO VYA KUCHAGUA FOREX BROKERS TANZANIA 🇹🇿
11. JINSI BROKER WA FOREX HUSIMAMIA HATARI NA KUPATA FAIDA.
12. BIASHARA ZINAZOFANYIKA NDANI YA BROKER
13. WAJUE A-BOOK BROKERS NA B-BOOK BROKERS
14. IJUE SERA YA HEDGING KWA BROKER WAKO.
15. CHANZO CHA BEI ANAZOKUPA BROKER SOKONI.
16. FAHAMU KUHUSU LIQUID PROVIDER WANAOWAPA ACCES YA SOKO BROKERS NA AINA ZA LIQUID PROVIDERS.
MAAMUZI BORA NA SAHIHI YA KWANZA AMBAYO UTAFANYA KAMA TRADER NI KUCHAGUA BROKER BORA KATIKA BIASHARA.
KARIBUNI KUTAZAMA SOMO HILI HAPA 👇🏽