
SAFARI CAPITAL TRADING
June 21, 2025 at 08:46 AM
KARIBU KUTAZAMA MATOKEO YA WIKI HII.
WIKI YA TATU KATIKA CHALLENGE YETU YA $100 MPAKA $6400.
HAPA UTAONA KILA TRADE TUNAYOCHUKUA, SABABU YA KUCHUKUA HIO TRADE, MATOKEO YAKE NA KWANINI TUMEPATA HAYO MATOKEO. REFLECTION YA IDADI YA PIPS KUTOKA CHART ZA TRADING VIEW NA ACCOUNT YA BROKER MT4/MT5 KWA UWAZI.
