
๐๐๐๐๐๐ & ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐
June 22, 2025 at 04:35 AM
*๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐*
โช๏ธUkikutana na wadudu & magonjwa kwenye mimea hatua gani ya kwanza utayochukua?
*๐ฑ๐ฐ๐ฉ๐ผ ๐ณ๐จ๐ฒ๐ฌ*
*โช๏ธNINACHUNGUZA KWANZA KAMA NI WADUDU GANI AU UGONJWA GANI*
*๐๐๐๐๐๐๐๐๐*
โช๏ธTatizo linaweza kuwa mdudu au ugonjwa lakini kila moja lina dawa yake tofauti
โช๏ธSi kila dawa inaweza kutibu kila tatizo kutumia dawa bila kutambua tatizo huongeza hasara
โช๏ธKuchunguza kwanza hukupa nafasi ya kuchagua dawa sahihi kwa ufanisi mkubwa
*๐๐๐๐๐๐๐*
*โช๏ธKAMA NI WADUDU*
- Utaona Mashimo kwenye majani? Vidudu wakitembea? Nondo mizizini? N.K
- Tumia viuatilifu vya wadudu kulingana na aina dalili
*โช๏ธKAMA NI MAGONJWA*
- Utaona Madoa, kuoza, majani kukunjamana au kusinyaa? N.K
- Tumia dawa za fangasi au bakteria kulingana na dalili
*โช๏ธUKIKOSEA HATUA YA MWANZO*
โ Utatumia dawa isiyofaa
โ Utapoteza pesa, muda na mimea
โ Utaongeza matatizo badala ya kutatua
โช๏ธAngalia dalili kwa makini kwanza
โช๏ธUliza wataalamu au piga picha kwenye group la wakulima
โช๏ธUkishaelewa chanzo, ndio uchague dawa kwa usahihi
*๐๐๐๐๐๐๐*
`KABLA HUJATUMIA DAWA YOYOTE NI MUHIMU KUCHUNGUZA ILI KUJUA NI WADUDU GANI AU UGONJWA GANI UNASHAMBULIA MIMEA YAKO`
*๐ป๐ผ๐ต๐จ๐บ๐ฏ๐ผ๐ฒ๐ผ๐น๐ผ ๐ฒ๐พ๐จ ๐พ๐ถ๐ป๐ฌ ๐พ๐จ๐ณ๐ฐ๐ถ๐ญ๐จ๐ต๐ฐ๐ฒ๐ฐ๐พ๐จ ๐ฒ๐ผ๐ฑ๐ฐ๐ฉ๐ผ ๐ป๐ผ๐ฒ๐ผ๐ป๐จ๐ต๐ฌ ๐ป๐ฌ๐ต๐จ ๐พ๐ฐ๐ฒ๐ฐ ๐ฐ๐ฑ๐จ๐๐ถ ๐ฒ๐พ๐จ ๐บ๐พ๐จ๐ณ๐ฐ ๐ฑ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฐ๐ต๐ฌ*
*๐ช๐ฑ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐พ๐*
> *๐บ๐๐๐๐๐๐ฐ๐๐๐๐๐๐๐๐๐*