
Radio Maria Tanzania
June 16, 2025 at 03:07 PM
LEO TUMEANZA WIKI YA 8 YA KAMPENI YA MARIATHON 2025, JE UPO NGAZI YA NGAPI?
▪︎ Karibu Sana Mpendwa Mtoto wa Mama tuendelee kukimbia kwa pamoja, Tupande NGAZI, Tuendelee kuweke alama ndani ya Utume wa Mama na Habari njema iwafikie watu wote.
▪︎ Makutano yetu ni 100200 (Namba ya Kampuni) Mpesa, Mix by Yas, Airtel Money na Halopesa.
Pia kwa njia ya Benki CRDB 0150303128000 na Mkombozi Benki 00811515058001 karibi sana.
💃🏾💃🏾💃🏾
Mkono utoao, ndio upokeao... 🔥🔥🔥
Asante sana na Mungu akubariki na kukuongezea utakapo punguza.
Amina.
.
.
www.radiomaria.co.tz
#radiomariatz
#mahujajikatikamatumaini
#mamawamatumaini

🙏
7