
Radio Maria Tanzania
June 17, 2025 at 12:15 AM
*Karibu Tusali Rozari ya Huruma ya Mungu...🙏🙏🙏*
Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu Amina.
Baba yetu Uliyembinguni Jina lako litukuzwe, Ufalme wako Ufike, Utakalo lifanyike, Duniani kama Mbinguni...Utupe leo Mkate wetu wa kila siku, Utusamehe Makosa yetu, kama Tunavyowasamehe na sisi waliotukosea, Usitutie katika kishawishi lakini utuopoe Maovuni Amina.
Salamu Maria, Umejaa Neema Bwana yu nawe, Umebarikiwa kuliko Wanawake wote, na Yesu Mzao wa Tumbo lako Amebarikiwa.........
Maria Mtakatifu Mama wa Mungu, utuombee Sisi Wakosefu Sasa na Saa ya Kufa kwetu Amina
Nasadiki kwa Mungu, Baba Mwenyezi, mwumba mbingu na dunia.
Na kwa Yesu Kristu, Mwanaye wa pekee, Bwana wetu; aliyetungwa Mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu,
akazaliwa na Bikira Maria,
akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato,
akasulubiwa, akafa, akazikwa, akashukia kuzimu; siku ya tatu akafufuka kutoka wafu;
akapaa mbinguni; amekaa kuume kwa Mungu Baba Mwenyezi; kutoka huko atakuja kuwahukumu walio hai na wafu.
Nasadiki kwa Roho Mtakatifu,
Kanisa takatifu katoliki,
ushirika wa Watakatifu,
maondoleo ya dhambi,
ufufuko wa miili, uzima wa milele. Amina.
Baba wa Milele Ninakutolea Mwili Na Damu, Roho na Umungu wa Mwanao Mpenzi na Bwana wetu Yesu Kristo, Kwa Malipizi ya Dhambi zetu na za Dunia Nzima
Kwaajili ya Mateso yake Makali...
Utuhurumie Sisi na Dunia Nzima x10
Baba wa Milele Ninakutolea Mwili Na Damu, Roho na Umungu wa Mwanao Mpenzi, na Bwana wetu Yesu Kristo, kwa Malipizi ya Dhambi zetu na za Dunia Nzima......
Kwaajili ya Mateso yake Makali...
Utuhurumie Sisi na Dunia Nzima x10
Baba wa Milele Ninakutolea Mwili Na Damu, Roho na Umungu wa Mwanao Mpenzi na Bwana wetu Yesu Kristo, Kwa Malipizi ya Dhambi zetu na za Dunia Nzima......
Kwaajili ya Mateso yake Makali...
Utuhurumie Sisi na Dunia Nzima x10
Baba wa Milele Ninakutolea Mwili Na Damu, Roho na Umungu wa Mwanao Mpenzi na Bwana wetu Yesu Kristo, Kwa Malipizi ya Dhambi zetu na za Dunia Nzima......
Kwaajili ya Mateso yake Makali...
Utuhurumie Sisi na Dunia Nzima x10
Baba wa Milele Ninakutolea Mwili Na Damu, Roho na Umungu wa Mwanao Mpenzi na Bwana wetu Yesu Kristo, Kwa Malipizi ya Dhambi zetu na za Dunia nzima.
Kwaajili ya Mateso yake Makali...
Utuhurumie Sisi na Dunia Nzima x10
Baba wa Milele Ninakutolea Mwili Na Damu, Roho na Umungu wa Mwanao Mpenzi na Bwana wetu Yesu Kristo, Kwa Malipizi ya Dhambi zetu na za Dunia Nzima......
Mungu Mtakatifu, Mtakatifu Mwenye Enzi, Mtakatifu Usiyeweza Kufa Utuhurumie Sisi na Dunia Nzima....x3🙏
Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu Amina.🙏
#simameniimarakatikaimani
#salanisilaha
www.radiomaria.co.tz

🙏
❤️
👍
❤
❌
👏
😮
84