
Radio Maria Tanzania
June 17, 2025 at 03:49 AM
KUMBUKUMBU YA KUZALIWA TUMAINI ENDRICK MMAMBALE
▪︎ Heri ya kumbukumbu ya siku mfanano ya kuzaliwa kwako Tumaini Endrick, Mwakilishi wa Radio Maria Tanzania Jimbo Katoliki Tanga.
Umefanyika baraka kwetu, nasi tunakuombea heri katika maisha yako, Mama Maria azidi kukubeba, furahia siku yako.
▪︎ Wapendwa karibuni tumtakie heri na matashi mema Tumaini Endrick anapofanya kumbukumbu ya siku mfanano ya kuzaliwa kwake.
www.radiomaria.co.tz
#happybirthday
#mahujajikatikamatumaini
#sautiyakikristonyumbanimwako
#mamawamatumaini
#mariathon2025

🙏
❤️
❌
🎂
❤
🍾
🎉
👍
💯
😮
27