
Radio Maria Tanzania
June 17, 2025 at 03:57 AM
*Tumsifu Yesu Kristo mtoto wa Mama*.🤝🙏🏽👏🏾
🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
*Tunakukaribisha katika Mpambano wetu wenye lengo la kuutegemeza utume kwa Mwezi JUNI 2025 na wanaopambana leo si wengine bali ni*.
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
*MWANZA (6), SINGIDA (10), NJOMBE (27), ZANZIBAR (12&13), SUMBAWANGA (28), MUSOMA (22), SHINYANGA (23), LINDI (33), NA IFAKARA (25)*
🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸
*Team wasindikizaji tunawashukuru na kuwakaribisha tushangilie Mpambano huu kupitia 100200 Mpesa, Mix by Yas, Airtel Money na Halopesa*...
*TULIANZA NA MAMA, TUNATEMBEA NA MAMA NA TUTAMALIZA NA MAMA*
*Asante kwa Majitoleo yako Mungu akubariki*🤝👏🏾🙏🏽
*Radio Maria Tanzania*..
*Sauti ya Kikristu Nyumbani Mwako*.

🙏
❤️
❌
❤
👍
33