
Radio Maria Tanzania
June 17, 2025 at 05:50 AM
USIKOSE KUFUATILIA KIPINDI CHA ELIMU JAMII LEO JUMANNE JUNE 17, 2025.
▪Mwanafamilia wa Radio Maria Tanzania tunakualika kufuatilia Kipindi cha Elimu Jamii leo Jumanne Juni 17, 2025 kuanzia majira ya saa 05:15 Asubuhi kupitia masafa ya Radio Maria Tanzania na YouTube ya Radio Maria Tanzania.
▪︎Mwezeshaji ni Bwana Charles Mkumbwa, Afisa Msimamizi Mkuu wa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), akizungumzia juu ya umuhimu wa kodi kwa Taifa.
.
.
www.radiomaria.co.tz
#mariathon2025
#radiomariatanzania

🙏
👍
14