
Radio Maria Tanzania
June 17, 2025 at 06:20 PM
SHUKRANI KWA MUNGU, VIFAA VYA VITUO VIPYA VIMEANZA KUWASILI MAKAO MAKUU - DAR ES SALAAM
Picha ni wakati wa kupokea na kushusha mzigo wenye baadhi ya Vifaa vya vituo vipya tarajiwa vya Radio Maria ambavyo viliagizwa kufuatia ukarimu wako kwenye Kampeni zilizopita.
Awamu ya pili ya Vifaa hivyo inatarajiwa kupokelewa katikati ya Mwezi JULAI, ambapo itakamilisha vifaa vyote kwa ajili ya kuongeza Vituo kule Tarime, Makambako, Igunga, Mafia, Inyonga na Karatu.
Tunawashukuru wadau wetu wote, kwa moyo wenu wa Majitoleo na sala mnazozidi kuiombea Radio Maria Tanzania.
Mariathon 2025, Mama wa Matumaini.
.
.
www.radiomaria.co.tz
#mahujajikatikamatumaini
#radiomatz

🙏
❤️
👍
👏
😢
✅
😮
73