
Radio Maria Tanzania
June 18, 2025 at 04:19 AM
*Tumsifu Yesu Kristo mtoto wa Mama*.🤝🙏🏽👏🏾
🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
*Tunakukaribisha katika Mpambano wetu wenye lengo la kuutegemeza utume kwa Mwezi JUNI 2025 na wanaopambana leo katika si wengine bali ni*.
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
*DAR ES SALAAM (1), IRINGA (9), SONGEA (2), MAFINGA (14), MBULU (19), MOROGORO (20), KAHAMA (31), TABORA (17), BAGAMOYO (37) NA KAYANGA (29)*
🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸
*Team wasindikizaji tunawashukuru na kuwakaribisha tushangilie Mpambano huu kupitia 100200 Mpesa, Mix by Yas, Airtel Money na Halopesa*...
*TULIANZA NA MAMA, TUNATEMBEA NA MAMA NA TUTAMALIZA NA MAMA*
*Asante kwa Majitoleo yako Mungu akubariki*🤝👏🏾🙏🏽
*Radio Maria Tanzania*..
*Sauti ya Kikristu Nyumbani Mwako*.

🙏
❤️
👏
👍
😢
27