
Radio Maria Tanzania
June 18, 2025 at 05:56 AM
KUMBUKUMBU YA KUZALIWA BEATRICE AUDAX - BUKOBA
▪︎ Heri ya kumbukumbu ya siku mfanano ya kuzaliwa kwako Beatrice Audax mtangazaji wa Radio Mbiu, Jimbo Katoliki Bukoba.
▪︎ Umefanyika baraka kwetu, nasi tunakuombea heri katika maisha yako, Mama Maria azidi kukubeba, furahia siku yako.
▪︎ Wapendwa karibuni tumtakie heri na matashi mema Beatrice Audax anapofanya kumbukumbu ya siku mfanano ya kuzaliwa kwake.
www.radiombiu.co.tz
#happybirthday
#mahujajikatikamatumaini
#sautiyakikristonyumbanimwako
#mamawamatumaini
#mariathon2025

🙏
❤️
🥳
🎂
👍
🎉
🍾
👏
😢
54