
Radio Maria Tanzania
June 18, 2025 at 04:09 PM
UONGOZI WA TAMWA WAITEMBELEA RADIO MARIA TANZANIA - MAKAO MAKUU, DAR ES SALAAM
- Picha ni baada ya Mkutano na Uongozi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), ukiongozwa na Mwenyekiti wake Bi. Joyce Shebe, baada ya mazungumzo maalum na Viongozi wa Radio Maria Tanzania leo Juni 18, 2025 Makao Makuu ya Radio Maria Tanzania, Mikocheni Dar es Salaam.
www.radiomaria.co.tz
#mahujajikatikamatumaini
#radiomariatanzania
#mariathon2025mamawamatumaini

🙏
❤️
👍
❤
🌹
🎉
💞
😂
😘
😮
44