
Radio Maria Tanzania
June 18, 2025 at 07:29 PM
MKUTANO WA BODI YA SHIRIKISHO LA RADIO MARIA DUNIANI - ITALIA
Picha ya Pamoja ni Wajumbe wa Bodi ya Shirikisho la Radio Maria Duniani na Wafanyakazi wa Shirikisho hilo wakiwa katika ofisi za Makao Makuu ya Shirikisho hilo, katika eneo la Erba, nchini Italia.
Viongozi hao wamekutana katika kikao chao cha kawaida cha mwaka cha siku mbili kilicho anza Jumanne Juni 17 na kuhitimishwa leo Juni 18, 2025
Miongoni mwa Washiriki ni pamoja na Rais wa Radio Maria Tanzania, Ndugu. Humphrey Julius Kira.
Tuendelee kuwaombea Viongozi hawa na kuombea mafanikio yale yaliyojadiliwa katika Mkutano Huo.
.
.
www.radiomaria.co.tz
#mamawamatumaini
#mahujajikatikamatumaini
#radiomariatz

🙏
❤️
👍
❤
🔥
🫶
33