
Radio Maria Tanzania
June 18, 2025 at 07:37 PM
HABARI PICHA - ITALIA
Rais wa Radio Maria Tanzania (kushoto) Ndugu Humphrey Julius Kira na Mkurugenzi wa Radio Maria Italia na Shirikisho la Radio Maria Duniani Padre Livio Fanzaga.
Padre Livio pia ni Mwanzilishi Mwenza wa Radio Maria Duniani.
Viongozi hao wamekutana katika kikao chao cha kawaida cha mwaka cha Shirikisho kwa siku mbili, kilicho anza Jumanne Juni 17 na kuhitimishwa leo Juni 18, 2025.
Tuendelee kuwaombea Viongozi hawa na kuombea mafanikio yale yaliyojadiliwa katika Mkutano Huo.
.
.
www.radiomaria.co.tz
#mamawamatumaini
#mahujajikatikamatumaini
#radiomariatz

🙏
❤️
👍
❤
😢
😮
55