Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

350.5K subscribers

Verified Channel
Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
June 19, 2025 at 12:47 PM
JE, WAFAHAMU KUZOEANA KATIKA NDOA KAMA CHANZO CHA UNYANYASAJI KATIKA FAMILIA? - Karibu uungane na Frateri David Mkane kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Karol Lwanga Segerea, Jimbo Kuu la Dar es salaam, katika kipindi cha Familia ni Nyumba ya Mungu kinachoruka leo Alhamis Saa 12:30 jioni. www.radiomaria.co.tz #mariathon2025 #mahujajikatikamatumaini #radiomariatanzania
🙏 👍 😂 🤔 ❤️ 😢 😮 31

Comments