
Radio Maria Tanzania
June 20, 2025 at 05:51 AM
https://youtu.be/IbkpR5lM9rw?si=XrmoeiFDaxeDBT3-
NJOONI TUMWABUDU YESU WA EKARISTI TAKATIFU - PADRE ABRAHAM
Karibu usikilize ujumbe wa Padre Abraham Msofe, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Clara Mongolandege, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, akiwakaribisha waamni wote katika Adhimisho la Misa Takatifu la Mwili na Damu ya Yesu, itakayofanyika katika viwanja vya Kecha - Kinyerezi, Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
Baada ya Adhimisho la Misa Takatifu, kutakuwa na maandamano ambapo kila Parokia wataondoka na Yesu wa Ekaristi, kuelekea Parokia za Kinyerezi, Segerea, Kifuru, Mongolandege, Kisukuru, Kingazi na Manabii.
Karibuni Tumwabudu Yesu wa Ekaristi.
https://youtu.be/IbkpR5lM9rw?si=XrmoeiFDaxeDBT3-
.
.
www.radiomaria.co.tz
#mariathon2025
#radiomariatz
#mahujajikatikamatumaini
🙏
❤️
👍
30