
Radio Maria Tanzania
June 20, 2025 at 06:09 AM
*HONGERA KARDINALI POLYCARP PENGO KWA MIAKA 54 YA DARAJA TAKATIFU YA UPADRE*
Leo Juni 20, 2025 Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, anamshukuru Mungu kwa zawadi ya miaka 54 tangu alipowekwa Wakfu katika Daraja Takatifu ya Upadre huko Jimbo Katoliki Sumbawanga kwa mikono ya Hayati Mhashamu Charles Msakila, aliyekuwa Askofu wa Jimbo hilo.
Familia ya Radio Maria Tanzania inakutakia heri sana Mwadhama Pengo ni hakika umefanyika baraka kwa Taifa la Mungu, nasi tunakuombea heri katika maisha yako.
Mama Maria azidi kukuongoza
www.radiomaria.co.tz
#mahujajikatikamatumaini
#sautiyakikristonyumbanimwako
#mamawamatumaini
#mariathon2025

🙏
❤️
👍
👏
🥳
🩷
❤
🎁
🤝
🫶
97