Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

350.5K subscribers

Verified Channel
Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
June 20, 2025 at 08:00 AM
PANDA NGAZI ▪︎ Karibu Sana Mpendwa Mtoto wa Mama tuendelee kukimbia kwa pamoja, ili leo uweze kuinua mkoa wako karibu upande Ngazi kupitia namba ya Kampuni 100200. Karibu tuendelee kuvuta mikoa yetu ili sote tufike malengo. Asante sana na Mungu akubariki sana na kukuongezea utakapo punguza. ▪︎ Makutano yetu ni 100200 Mpesa, Mix by Yas, Airtel Money na Halopesa. Pia kwa njia ya Benki CRDB 0150303128000 na Mkombozi Benki 00811515058001 karibi sana. Mkono utoao, ndio upokeao... Karibuni tupande ngazi ili tuivute mikoa yetu iwe kwenye nafasi nzuri na kukamilisha malengo yetu. 🙏 www.radiomaria.co.tz #mahujajikatikamatumaini #sautiyakikristonyumbanimwako #mamawamatumaini #mariathon2025
Image from Radio Maria Tanzania: PANDA NGAZI ▪︎ Karibu Sana Mpendwa Mtoto wa Mama tuendelee kukimbia kw...
🙏 ❤️ 👍 👏 33

Comments