
Radio Maria Tanzania
June 20, 2025 at 12:27 PM
https://youtu.be/E_wTI1evzkc
KUELEKEA SHEREHE YA EKARISTI TAKATIFU JUNI 22, 2025 - KINYEREZI, DAR ES SALAAM
Parokia na vigango vinavyosimamiwa na Shirika la Mapadre wa Ndugu Wadogo Wafrancisko Wakonvetuali wameandaa Adhimisho la Pamoja Dominika ya Sherehe ya Ekaristi Takatifu, katika Viwanja vya Kecha, Kinyerezi Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
Baada ya Adhimisho la Misa Takatifu, kutakuwa na maandamano ambapo kila Parokia wataondoka na Yesu wa Ekaristi, kuelekea Parokia za Kinyerezi, Segerea, Kifuru, Mongolandege, Kisukuru, Kingazi na Manabii.
Karibuni Tumwabudu Yesu wa Ekaristi.
https://youtu.be/E_wTI1evzkc
.
.
www.radiomaria.co.tz
#mariathon2025
#radiomariatz
#mahujajikatikamatumaini
🙏
❤️
👍
🫶
👏
💯
😢
🤝
44