
Radio Maria Tanzania
June 21, 2025 at 03:53 AM
ASKOFU MKUU RUWA'ICHI AMEZINDUA NA KUBARIKI NYUMBA YA MAPADRE, SKANSKA - DAR ES SALAAM
Picha ni baadhi ya Matukio wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Somo wa Parokia ya Utatu Mtakatifu Skanska samabamba na Uzinduzi na Kubariki Nyumba ya Mapadre, Jimbo Muu la Dar es Salaam.
Misa Takatifu iliadhimishwa na Mhashamu Yudda Thadeus Ruwa'ichi, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, ambapo katika Misa hiyo kulikuwepo na Mapadre mbalimbali akiwemo Paroko wa Parokia hiyo, Padre Franciss Xavier, (HGN ).
.
.
www.radiomaria.co.tz
#radiomariatanzania
#injilishakwaharaka
#mahujajikatikamatumaini.

🙏
❤️
❤
👍
28