Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

350.5K subscribers

Verified Channel
Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
June 21, 2025 at 05:05 AM
LEO JUNI 21, RIPOTI YA SABA YA KAMPENI YA MARIATHON 2025 Mpendwa mtoto wa Mama Bikira Maria, Kampeni Yetu ya Mbio za Mama 2025 inasonga Mbele. LEO JUMAMOSI tutaleta kwenu RIPOTI YA SABA. Je, ungetamani uwe katika NGAZI ipi? Na Jimbo lako liwe katika NAFASI ya NGAPI? Karibu tena LEO kupitia 100200 au BENKI tuipendezeshe RIPOTI Yetu Ya Saba. Karibu tuendelee kukimbia na Mama Bikira Maria kuwezesha utume wake, makutano yetu ni 100200 (namba ya Kampuni) Kupitia Mitandao ya simu, kwa M Pesa, Mixx by Yas, Halopesa na Airtel Money. Pia kwa njia ya Benki; CRDB; Akaunti No. 0150303128000 Mkombozi Akaunti No. 00811515058001 Jina la akaunti ni Marafiki wa Radio Maria Tanzania. Mungu akubariki sana. . . #radiomariatanzania #mariathon2025mamawamatumaini #mahujajkatikamatumaini
Image from Radio Maria Tanzania: LEO JUNI 21, RIPOTI YA SABA YA KAMPENI YA MARIATHON 2025  Mpendwa mtot...
🙏 ❤️ 👍 18

Comments