
Radio Maria Tanzania
June 21, 2025 at 07:59 AM
*HONGERA MHASHAMU JOHN NDIMBO KWA MIAKA 36 YA DARAJA TAKATIFU YA UPADRE*
Leo Juni 21, 2025 Mhashamu John Chrysostom Ndimbo, Askofu wa Jimbo Katoliki Mbinga , anamshukuru Mungu kwa zawadi ya miaka 36 tangu alipowekwa Wakfu katika Daraja Takatifu ya Upadre.
Familia ya Radio Maria Tanzania inakutakia heri sana Mhashamu John Ndimbo ni hakika umefanyika baraka kwa Taifa la Mungu, nasi tunakuombea heri katika maisha yako.
Mama Maria azidi kukuongoza
www.radiomaria.co.tz
#mahujajikatikamatumaini
#sautiyakikristonyumbanimwako
#mamawamatumaini
#mariathon2025

🙏
❤️
👍
28