Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

350.5K subscribers

Verified Channel
Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
June 21, 2025 at 08:01 AM
KUMBUKUMBU YA MIAKA 13 YA UPADRE KWA PADRE PASCHAL KILONGO - KONDOA Mpendwa leo Juni 21, Padre Pascha Kilongo wa Jimbo Katoliki Kondoa anafanya kumbukumbu ya shukrani ya miaka 13 ya Upadre. Padre Paschal Kilongo ni Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Andrea Mtume Gonga, Jimbo Katoliki Kondoa. Umefanyika baraka kwetu, nasi tunakuombea neema na baraka katika maisha yako, Mama Maria azidi kukubeba, furahia siku yako. Wapendwa karibuni tumtakie heri na matashi mema Padre Paschal Kilongo, anapomshukuru Mungu kwa Miaka 13 ya Daraja Takatifu ya Upadre. . . www.radiomaria.co.tz #mariathon2025 #radiomariatz #mahujajikatikamatumaini
Image from Radio Maria Tanzania: KUMBUKUMBU YA MIAKA 13 YA  UPADRE KWA PADRE PASCHAL KILONGO - KONDOA  ...
🙏 ❤️ 👍 👏 39

Comments