Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

350.5K subscribers

Verified Channel
Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
June 21, 2025 at 09:15 AM
https://youtube.com/live/MjMR6NH8054?feature=share Karibu kwenye Adhimisho la Misa Takatifu ya Sherehe ya Dekania ya Mtakatifu Petro Mtume Swaswa Jimbo Kuu Katoliki Dodoma. Misa inaadhimishwa na Mhashamu Beatus Kinyaiya OFMCap, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dodoma katika Ukumbi wa Mtakatifu Petro Swaswa, Dodoma. www.radiomaria.co.tz #jubilei2026 #mahujajikatikamatumaini
🙏 ❤️ 🇨🇬 🎉 👍 27

Comments