
Radio Maria Tanzania
June 21, 2025 at 05:08 PM
JUBILEI YA MIAKA 50 YA NDOA BWANA NA BI. ALEX MUTAGOMBWA, RUTABO - BUKOBA
Picha wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei ya Dhahabu, miaka 50 ya Ndoa Takatifu ya Bwana Alex Mutagombwa na Bi. Georgia Kokulamuka, Wazazi wa Padre Almachius Mwemezi wa Jimbo Katoliki Rulenge Ngara.
Misa Takatifu iliadhimishwa nyumbani kwao, Parokia ya Mtakatifu Joseph - Rutabo, Jimbo Katoliki Bukoba na Padre Almachius Mwemezi wa Jimbo Katoliki Rulenge Ngara, Homilia ilitolewa na Padre Godwin Rugambwa, Paroko wa Parokia ya Rutabo.
.
.
Picha na Goreth Lwamuzigu- Bukoba
www.radiombiu.co.tz
#radiomariatz
#mahujajikatikamatumaini
#mariathon2025mamawamatumaini

🙏
❤️
❤
👍
👏
🤝
31