Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

350.5K subscribers

Verified Channel
Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
June 21, 2025 at 05:08 PM
Tazama wanandoa wenye miaka 50, ambapo Juni 20, 2025 waliadhimisha Jubilei ya Dhahabu, ya Ndoa Takatifu ya Bwana Alex Mutagombwa na Bi. Georgia Kokulamuka, Wazazi wa Padre Almachius Mwemezi wa Jimbo Katoliki Rulenge Ngara. . . Picha na Goreth Lwamuzigu - Bukoba www.radiombiu.co.tz #radiomariatanzania #mahujajikatikamatumaini #mariathon2025mamawamatumaini
Image from Radio Maria Tanzania: Tazama wanandoa wenye miaka 50, ambapo Juni 20, 2025 waliadhimisha Jub...
🙏 ❤️ 👍 🎉 👏 😊 😮 🥳 60

Comments