
Nurul Kitab Wa Sunnah
May 24, 2025 at 03:05 AM
*DUA BAADA YA KUAMKA KUTOKA USINGIZINI*
الحَمْـدُ لِلّهِ الّذي أَحْـيانا بَعْـدَ ما أَماتَـنا وَإليه النُّـشور
Matamshi:
AlhamduliLLaahil-LLadhiy Ahyaanaa ba’da maa amaatana wa Ilayhin-nushuwr
Maana:
Himdi Anastahiki Allaah Ambaye Ametupa uhai baada ya kutufisha na ni Kwake tu kufufuliwa
Hadiyth ya Hudhayfah bin Al-Yamaan na Al-Baraa bin ‘Aazib (رضي الله عنهما) - Al-Bukhaariy pamoja na Al-Fat-h (11/113), Muslim (4/2083)
*DUA KABLA YA KULALA*
👇👇👇👇
https://youtu.be/UwEFiI3SCYI?si=OCFvWOmFdZ7gnOXn
_Usiisahau Kufuata (subscribe) channel yetu - sambaza_
❤️
🤲
❤
🙏
🎉
👍
😂
19