
Nurul Kitab Wa Sunnah
May 24, 2025 at 07:09 AM
*🔔 TAARIFA MUHIMU KUHUSIANA NA SHEIKH WETU ABUU ZUBEIDAH MAULID HAROUN (ALLAH AMUHIFADHI).*
Mnaarifiwa kuwa:
Akaunti ya Telegram ya Sheikh Abuu Zubeidah Maulid Haroun imedukuliwa na watu wasiojulikana.
Kwa hivyo:
⚠️ USIAMINI UJUMBE WOWOTE UNAOTUMWA KUPITIA TELEGRAM KWA JINA LAKE.
⚠️ EPUKA KUFUATA MAELEKEZO YOYOTE UTAYAPEWA NA MDUKUZI HUYO.
📢 SHIRIKI TAARIFA HII kwa wenzako ili kuepusha madhara!
✍🏼 Abuu Iptysaam Issa Awadhi
_______________________________
_💡Kwa faida zaidi za Kielimu kutoka kwa Sheikh Abuu Zubeidah Maulid Haroun ungana nasi katika channel ya Telegram kupitia kiunganishi hiki: https://t.me/sheikhabuuzubeidah_
🙏
😢
3